Habari za wakati huu ndugu watazamaji, kama ilivyo ada leo tunaenda kujifunza kuhusu tatizo la kutoka usaha kwenye sikio
Tuungane na Daktari bingwa wa masikio ,pua na koo kutoka hospitali ya taifa Muhimbili-Mloganzila Dkt.Godlove Mfuko akitoa elimu juu ya mada ya hii.
Karibu tujifunze
Natanguliza shukrani za dhati kwa Azam tv kupitia kipindi chake cha MediCounter katika kuelimisha jamii kuhusu Afya
Source:AzamTv MedCounter
#Afya yetu Urithi wetu
Frank Msuya
#DaktariJamii
👍🏾👍🏾 tho this journal was a bit scary🤪🤪
ReplyDelete